Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Mamlaka ya Mapato Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) ni namba ya  tarakimu tisa inayotumika kufuatilia namba na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa madhumuni ya kodi.

Masharti:

  • Picha ya pasipoti
  • Kadi ya kitambulisho/ kitambulisho cha kazi

Taratibu:

  • Wasilisha ombi la namba ya utambulisho wa ulipa kodi
  • Kamilisha Fomu ya Maombi ya TIN (Nakala halisi)
  • Chukua taarifa ya makadirio (chombo kinachoomba TIN) (Nakala halisi)
  • Jaza fomu ya udhibitisho wa mlipa kodi (nakala halisi)
  • Wasilisha nyaraka za ombi la TIN katika kituo cha karibu cha kodi kwenye wilaya ambayo eneo la biashara yako ilipo
  • Toa alama za vidole  za utambulisho
  • Pata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) na fomu ya tathmini ya kodi
  • Pata TIN yako
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page