Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kusafirisha/Kuingiza
OFISI INAYOHUSIKA
Mamlaka ya Mapato Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kusafirisha nje na kuchukua au kusababisha bidhaa kupelekwa nje ya tanzania. Bidhaa zisafirishwazo nje ya nchi hazilipiwi ushuru na kodi isipokuwa kwa vitu viwili, ;ngozi ngafi nna ngozi zilizosindikwa zinazoozwa kwa kiwango cha 90% ya thamani ya kuletwa mpaka melini  bure au Tshs 900 kwa kilo, chochote kitakachokuwa kikubwa na korosho ngafi zinazinazotozwa kiwango cha  kiwango cha 15% kinachofanyiwa hesabu kwa thamani ya kuletwa mpaka melini bure au dola za marekani 160kwa tani ya metriki, chochote kitakachokuwa kikubwa.

 Masharti:

 • Ankara
 • Orodha ya ufungashaji
 • Cheti cha TIN(msafirishaji bidhaa nje ya nchi)
 • Barua ya idhini
 • Vibali vya usafirishaji nchi za nje kutoka kwa mamlaka zinazohusika.

Utaratibu:

 • Teua wakala wa utoaji na usafirishaji mizigo (CFA) kushughulikia nyaraka za usafirishaji bidhaa nchi za nje.
 • Shughulikia nyaraka za usarishaji bidhaa nchi za nje.
 • Shughulikia nyaraka za bidhaa kwenye mtandao na kamilisha kabla ya ukaguzi wa bidhaa na ruhusa ya
  kusafirisha nje ya nchi.
 • Wasilisha nyaraka  ama kwa mkono au elektroniki kwa CFA,CFAS napakia nyaraka mfumo wa kujiendesha
  kwa ajili ya forodha (ASYCUDA++)  na kupeleka pia TRA.
 • Pata namba ya marejeo inayopatikana kwa kujiendesha.
 • Tarifu idara ya forodha kabla ya kupakia bidhaa kwenye kontena au lori kwa sababu ofisa wa forodha atashuhudia upakiaji.

 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page