Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba PasiPoti/Pasi/Visa
OFISI INAYOHUSIKA
Uhamiaji

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Shahada ya dharura inaweza kutolewa kwa raia yoyote wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenye safari ya dharura na hawezi kutimiza masharti ya kumuwezesha kupata pasipoti ya kawaida, Ambae amekwama nje ya nchi na hawezi kupata pasipoti ya kawahida au anasafirishwa kurejeshwa nyumbani.

Masharti:

  • Cheti cha kuzaliwa au kiapo cha kuzaliwa au cheti cha uraia wa kuandikisha.
  • Cheti cha kuzaliwa au kiapo cha kuzaliwa au cheti cha uraia wa kuandikisha cha mzazi au wazazi wako.
  • Endapo mwombaji ana umri chini ya miaka 16, ridhaa ya maandishi ya wazazi au mlezi halali..
  • Picha nne za pasipoti.

 Taratibu:

  • Wasilisha Ombi la Pasipoti kwenye Ofisi za Uhamiaji zilizo karibu nawe.
  • Malipo ya 10,000/=
  • Ambatisha picha zako za pasipoti.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page