Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba PasiPoti/Pasi/Visa
OFISI INAYOHUSIKA
Uhamiaji

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kupotea ni hali au mchakato wa kupoteza kitu wakati ubadilishaji ni hali au mchakato wa kubadilisha kitu kilichopotea kwa kufanya hivyo, iwapo pasipoti imepotea, kuibwa au kuharibika sana, maombi ya ubadilishaji yanaambana na tamko la kiapo cha mazingira yanayohusiana na kupotea hulo, wizi au kuharibika kwa pasipoti na mamlaka kulikotolewa taarifa ya kupotea, wizi au kuharibika.

Masharti:

  • Waraka wa taarifa ya polisi kuhusu kupotea huko.

Taratibu:

  • Toa taarifa kwenye kituo cha polisi cha karibu kuhusu kupotea,
    kuibiwa kwa pasipoti.
  • Tangaza kupotea au kuibiwa kwa pasipoti katika gazeti la kila siku.
  • Ambatisha hati za kusafiria na pasipoti ya zamani(kama ipo)
  • Omba tena kwa Kamishna Mkuu wa uhamiaji.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page