Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba Uraia
OFISI INAYOHUSIKA
Uhamiaji

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Mwanamke aliyeolewa na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa na haki wakati wowote wa maisha yake na mume wake, baada ya kuomba kuandikishwa kuwa raia wa Jamuhuri ya Muungano.

Masharti:

  • Uthibitisho wa uraia wa mume.
  • Cheti cha ndoa kilichosajiliwa Tanzania.
  • Nakala halali ya pasipoti ya taifa
  • Uthibitisho wa uhalali wa uhamiaji
  • Nakala tano za pasipoti za hivi karibuni.

 Taratibu:

  • Jaza fomu C 
  • Wasilisha fomu ya maombi makao makuu ya mkoa au wilaya ya uhamiaji.
  • Lipa ada ya Dola zaMaekani 1500 zisizorudishwa;
  • Tangaza kwenye matoleo mawili ymfululizo ya gazeti la kila siku.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page