Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kusafirisha/Kuingiza
OFISI INAYOHUSIKA
Mamlaka ya Mapato Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kuingiza nchini maana yake kuleta au kuchukua kutoka chanzo cha nje hasa kuleta bidhaa au vifaa kutoka nchi ya nje kwa ajili ya biashara na mauzo. Kwa maneno mengine uingizaji nchini ni bidhaa ni bidhaa yoyote, vifaa au huduma zinazoingizwa kuutoka nchi moja hadi nyingine kihalali, hasa kwa matumizi katika biashara.

 

Masharti:

 • Ankara ya mwisho.
 • Fomu  C.36
 • Barua ya idhini ya wakala.
 • Vibali vya kuingiza nchini kama vile TFDA,TBS,Kibali cha kemikali n.k
 • Nyaraka za misamaha
 • Orodha ya ufungashaji
 • Nyaraka za usafirishaji kama vile hati ya mizigo melini au hati ya mizigo kwenye ndege/mizigo kwa njia ya barabara.
 • Cheti cha TIN ( Mwingizaji bidhaa nchini).
 • Lipa ushuru wa forodha wa uingizaji bidhaa na gharama nyingine.
 • Pata stakabadhi ya malipo.
 • Kagua na pata bidhaa
 • Ankara kifani kwa ajili ya uhakiki na usajili tu.

Taratibu:

 • Teua  wakala utoaji na usafirishaji mizigo (CFA) kutoa bidhaa.
 • Shughulikia nyaraka kwenye mtandao na lazimaukamilishe kabla ya  kwa bidhaa.
 • Kamilisha taarifa za kabla ya kuwasili kwa bidhaa kwa mtandao kupitia TRA PAD.
 • Wasilisha TRA pamoja na nyaraka nyingine za maelezo ya ziadaza uingizaji bidhaa angalau siku 7 kabla ya kuwasili kwa bidhaa.

 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page