Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Shirika la Viwango Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Uthibitishaji ni uthibitisho wa mtu wa tatu kwamba bidhaa, huduma, mtu au mfumo wa menejimenti unatimiza masharti yaliyoelezwa. Kwa kuumpa muuzaji imani kwamba bidhaa au huduma inatimiza masharti , uthibitisho unawezesha biashara ndani ya nchi na baina ya nchi

Masharti:

  • Ni pamoja na Kuhakikisha kuwa eneo unalofanyia shughuli zako linatimiza viwango na Kuhakikisha kuwa bidhaa yenyewe ikiwemo ufungashaji na lebo ni vya kiwango kizuri.

Taratibu :

  • Ni pamoja na kuomba kwa mkurugenzi mkuu wa TBS, Kukamilisha Fomu ya Maombi, kupata viwango kutoka TBS kabla ya kuanza mchakato wote na Uthibitisho ambao hufanywa dhidi ya kiwango mahususi, kwa hiyo kupata viwango ni lazima.

 

Zingatia:

  • Kipindi cha cheti cha uthibitisho ni mwaka mmoja tu, kila mwisho wa mwaka mteja ni lazima aombe kuongeza muda.Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 20-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page