Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kutoa Malalamiko
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Utaratibu wa malalamiko unahusu hasa shule rasmi. Miongozo hii hutolewa kwa mujibu wa sheria ya 53 ya sheria za shule rasmi.

Masharti:

 • Mtu yeyote anaweza kulalamika kuhusu tabia ya mtoto
 • Malalamiko ni lazima yachunguzwe na hutanzuliwa haraka kadiri iwezekanavyo

Taratibu:

 • Shule inatakiwa kuchunguza malalamiko haya
 • Utaratibu wa malalamiko ni lazima uweze kushirikisha watoto na wazazi wao au walezi
 • Mfumo huo ni lazima uelezwe kwa wazazi na watoto na lazima ueleweke kwa urahisi, ikiwemo uwezekano wa kuwasiliana na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
 • Mtoto au mzazi ni lazima aulizwe iwapo anataka kutoa malalamiko rasmi
 • Jibu la mwisho kwa malalamiko rasmi ni lazima litolewe kwa maandishi kwa mlalamikaji
 • Watoto ni lazima waelezwe kwa ukamilifu matokeo ya malalamiko kwa namna watakayoweza kuelewa
 • Walalamikaji wote wana haki ya kukata rufaa dhidi ya matokeo ya uchunguzi wa malalamiko  pale ambapo mlalamikaji hakuridhika
 • Watoto wasiadhibiwe kinidhamu na kuteswa kwa namna yoyote kutokana na kutoa malalamiko
 • Shauku ya mtoto itakuwa ni kuzingatiwa kwa utekelezaji wa utaratibu wa malalamiko na katika uamuzi wote uliochukuliwa
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page