Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Idara ya Usimamizi wa Bima (ISD) ni Wakala ya Serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 5 cha Sheria ya Bima Na. 18, Mwaka 1996 kutoa leseni na kusimamia fomu zote za  biashara ya bima nchini Tanzania.  Maombi ya leseni za bima yatapelekwa kwa Kamishna wa Bima Tanzania.

Masharti:

 • Nakala ya Katiba ya Kampuni.
 • Kanuni za Kampuni.
 • Nakala ya Cheti cha uandikishaji/usajili wa Kampuni Tanzania.
 • Programu za ukataji bima na mipango ya biashara ya kampuni.
 • Hesabu za mwisho zilizokaguliwa
 • Sifa za kitaalamu za mfanyakazi
 • Riba ya biashara ya kila mkurugenzi na ofa ya mtaji/mkopo n.k.

 

Taratibu:

 • Jaza fomu za maombi.
 • Wasilisha fomu na nyaraka nyingine zinazotakiwa.
 • Lipa mtaji wa hisa.
 • Wasilisha uthibitisho wa kuwa na wataalamu wenye sifa katika ngazi ya menejimenti, shirika na muundo wa utawala.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page