Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Maliasili na Utalii

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Wakala wa Safari ni mfanyabiashara binafsi wa rejareja au huduma ya umma inayotoa huduma zinazohusiana na utalii kwa wananchi kwa niaba ya wagavi kama vile, mashirika ya ndege, wakodishaji magari madogo, meli na boti ndogo, hoteli, reli na safari ya utalii ya malipo ya jumla.

Masharti:

  • Leseni ya Wakala wa Usafiri itatolewa kwa kampuni za biashara zinazomilikiwa na Watanzania.
  • Wakala wa Usafiri ni lazima atimize kanuni zote.
  • Mwombaji ni lazima awe na wafanyakazi wasiopungua wawili raia wa Tanzania na wenye vyeti vya utalii vinavyotambuliwa na IATA.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page