Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Maliasili na Utalii

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Mwongozaji watalii ni mtu anayewatembeza wageni kwenye eneo, mwongozaji huyo hutumia maarifa makubwa ya eneo kuwaelezea wageni.  Baadhi ya waongozaji watalii hufanyakazi kwenye eneo lao, na kuzingatia zaidi kutoa huduma.

Masharti:

  • Ni lazima awe raia wa Tanzania
  • Lazima awe na cheti kinachotambuliwa na Mamlaka ya Leseni za Mawakala wa Utalii.
  • Ni lazima awe na uzoefu wa kutosha kama unavyotakiwa katika taaluma hii.
  • Waombaji wasio raia lakini ni wataalamu wenye uzoefu usioupungua miaka kumi wanaweza kupeleka maombi yao kupitia kampuni zao.  Maombi hayo yanaweza kufikiriwa.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page