Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kujiunga
OFISI INAYOHUSIKA


THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) ni oganaizesheni inayowakilisha wanachama wake zaidi kuliko nyingine Tanzania. ATE hutoa ushauri kuhusu kuajiri na maswala ya kazi. Awali ATE ilijulikana kama Shirikisho la Waajiri Tanganyika (FTE) iliundwa mwaka 1960 na makampuni kadhaa, tasnia na vyama vya waajiri. ATE ni kati ya majukwaa matatu yanayoshughulikia maswala ya uhusiano kazini kisekta na ngazi ya taifa nchini Tanzania. Majukwaa mengine ni Serikali ya Tanzania na Vyama vya Wafanyakazi.

Masharti:

   Uanachama wa ATE uko wazi kwa waajiri wote wawe binafsi, mashirika, makampuni, mashirika ya umma, mamlaka au vyama vya waajiri vya eneo fulani.

 Taratibu:

  • Pakua fomu kutoka tovuti http://www.ate.or.tz
  • Jaza fomu ya kuomba uanachama
  • Wasilisha fomu ya maombi kupitia anwani
  • ATE itawasiliana nawe.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page