Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kusajili
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Katiba na Sheria

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Chama cha siasa ni shirika la kisiasa linalotafuta umaarufu au kudhibiti kwa ukamilifu sera ya serikali, kwa kawaida ni kwa kuchagua wagombea wenye mwelekeo na mtazamo wa kisiasa unaofungamana na chama hicho na kuwaweka waongoze ofisi za kisiasa serikalini.

Masharti:

  • Nakala ya katiba
  • Sheria za chama
  • Wanachama wawili waasisi wa chama

Taratibu:

  • Wasilisha kwa Msajili nakala mbili za Fomu ya Maombi,  PP.1
  • Andika tamko la kuunga mkono maombi iwapo Fomu PP.2 iliyowekwa kwenye jedwali la kwanza
  • Pata stakabadhi ya ada ya maombi 
  • Toa cheti cha usajili wa muda baada ya kulipa ada iwapo Msajili anaridhika kuwa masharti ya usajili yaliyoelezwa yametimizwa
  • Pata cheti cha usajili wa muda katika Fomu PP.3 iliyowekwa kwenye jedwali la kwanza.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page