Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA
Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Vifaa vya mtandao maana yake ni kitu chochote au mchanganyiko wa miundombinu halisi inayotumika hasa, au kwa kuhusiana na upatikananji wa huduma za maudhui na huduma  nyingine tumizi, lakini haijumuishi vifaa vya mahali pa mteja.

Masharti:

 • Stakabadhi ya ada ya maombi.
 • Mpango wa biashara.
 • Mpango wa kuanzia.
 • Usajili wa kampuni.
 • Taarifa kuhusu pendekezo la kiufundi la huduma itakayotolewa.
 • Taarifa  kuhusu uzoefu uliopita.
 • Wasifu wa kampuni.

Taratibu:

 • Jaza Fomu ya Maombi kwa usahihi
 • Wasilisha fomu iliyojazwa kwa ukamilifu
 • Kupanga makundi ya maombi yaliyopokea
 • Kuhakikisha iwapo maombi yana viambatisho vyote vinavyohitajika.
 • Kufanya tathmini ya kina ya maombi kwa msingi wa kipengele cha kuandaa kabla.
 • Kuchapisha orodha ya waombaji kwenye magazeti na kuingizwa kwenye tovuti ya mamlaka kukaribisha maoni ya wananchi.
 • Kutathmini maoni ya wananchi na timu ya tathmini.
 • Mapendekezo ya timu ya tathmini kuwasilishwa kwa menejimenti kwa jaili ya kutolea uamuzi.
 • Mapendekezo ya Menejimenti yatawasilishwa kwenye Bodi kwa uthibitsho.
 • Mapendekezo ya Bodi yatawasilishwa kwa Waziri kwa ushauri.
 • Lipa ada inayotakiwa (ada ya awali, ada ya mtumiaji wa masafa, namba n.k.)
 • Leseni zitatolewa kwa waombaji waliofanikiwa.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page