Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA


THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Masharti:

 • Shahada ya kwanza ya Sayanzi(B.Sc), Diploma ya juu au Diploma ya Sayansi ya Afya ya Maabara, kutoka taasisi ya mafunzo
 • Upataji wa uzoefu wa vitendo kama mtaalamu wa Afya ya maabara, au fundi sanifu wa maabara.
 • Uthibitisho wa Usajili.
 • Amethibitishwa kuwa mtumishi wa maabara katika nchi yoyote.

Taratibu:

 • Wasilisha maombi kwenye fomu zilizoelezwa kwa masijala ya msajili.
 • Ambatisha nakala za vyeti vya sifa za kitaaluma zilizothibitishwa
 • Lipia ada ya maombi kama itakavyoelezwa kwenye kanuni
 • Baada ya Msajili kupokea maombi atayawasilisha kwenye Kamati ya Usajili kwa ajili ya kufikiriwa.
 • Baada ya kamati ya usajili kufikira maombi inatayarisha ripoti yenye mapendekezo kwa Baraza.
 • Uthibitisho wa maombi na Baraza.
 • Kumwelekeza Msajili aingize jina la mwombaji kwenye rejesta.

 

Zingatia:

 • Kama maombi yamekataliwa msajili wa maombi atamwarifu mwombaji ipasavyo,
  akimweleza sababu za kukataliwa huko.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 23-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page