Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kukodi
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Majengo Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kuna aina mbili za watumishi wenye sifa za  kupewa nyumba:  wastahiki na wastahili. Watumishi wanaostahiki  wana haki ya moja kwa moja ya kupewa nyumba. Kanuni nyingine zinazingatiwa iwapo ofisa anayestahiki hajapata nyumba. Watumishi wanaostahili wanatakiwa kuomba nyumba TBA.

Taratibu

i)     Tembelea Ofisi za Wakala ya Nyumba (TBA) kujua kama kuna nyumba

ii)    Kamilisha fomu ya maombi  kwa ajili ya kupanga nyumba.

iii)  Wasilisha fomu ya maombi iliyokamilika ikiambatishwa na barua ya maqombi.

iv)  TBA itakujulisha kuhusu upatikanaji wa nyumba na kiasi cha kodi inayohitajika.

v)    Saini kuthibitisha mkataba wa kupanga nyumba na wasilisha  TBA

vi)  Lipa kodi inayotakiwa kwenye akaunti ya benki ya mapato ya TBA.

vii) Kama nyumba haipatikani utajulishwa na jina lako litabaki kwenye hazinadata yetu
     kwa kufikiriwa baadaye.

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page