Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Ukaguzi wa Madini Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Mteja anaweza kutaka kushuhudia uchunguzi wa sampuli ya madini yake.  

Utaratibu

i. Fuata masharti ya  Sample Submission Contract/Form, baada ya hapo;

ii. Jaza  Request to Witness Test work na wasilisha kwenye ofisi za TMAA.

iii. TMAA itathibitisha na kumruhusu mteja kushuhudia uchunguzi wa sampuli ya madini yake.  

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 25-01-2017
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page