Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Ndani

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kuomba Cheti cha Usalama wa Moto hatua zifuatazo ni lazima zifuatwe:

i. Pakua na kujaza Fomu ya Maombi.

ii. Lipa ada kwa mujibu wa kundi lako la ushuru inayopatikana kwenye Kanuni ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

iii.Wasilisha hati ya malipo ya benki pamoja na fomu ya maombi kwenye kituo chochote cha Zimamoto.

iv. Baada ya kuwasilisha hati ya malipo ya benki na fomu ya maombi,  utapewa risiti ya serikali.

v. Utasubiri kwa muda wa wiki tatu kabla ya kuchukuwa cheti chako. 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 25-01-2017
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page