Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Baraza la Waganga wa Mifugo Tanzania linayo furaha kukamilisha tukio hili la kihistoria la kutunga Miongozo ya Uendelezaji Taaluma kwa  Wataalam wa Mifugo (CPD) na wanaoshughulikia mifugo na kukubaliana tafsiri ya pamoja ya  hoja muhimu za CPD) ; imewezesha Baraza la Waganga wa Mifugo Tanzania, shirika lililoshirikishwa na wadau wengine kutekeleza mfumo wa CPD wenye lengo la kuchangia katika ukuaji wa kazi ya taaluma ya watoa huduma kwa afya ya wanyama.

Masharti

Waombaji wote wafungue kiungo hiki kwa maelezo zaidi na kufuata miongozo:

Application For Veterinarian 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page