Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba
OFISI INAYOHUSIKA
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma - PSRS

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Sehemu hii ina lengo la kutoa muongozo kwa waombaji kazi kufahamu namna ya kujaza taarifa zao za maombi ya kazi kupitia mfumo mpya ujulikanao kama Recruitment Portal. Katika Ujazaji wa taarifa za mfumo huu kuna vipengele muhimu 11 kwa ajili ya kumuelekeza muombaji kazi utaratibu wa ujazaji wa taarifa zinazotakiwa kwa kila kipengele kabla ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya Recruitment portal.

 • Taarifa binafsi
 • Taarifa za Mawasiliano
 • Sifa za kielimu)
 • Sifa za Kitaaluma
 • Uwezo wa lugha
 • Uzoefu wa kazi
 • Mafunzo, Warsha na Makongamano aliyohudhuriwa
 • ujuzi wa matumizi ya kompyuta
 • wadhamini
 • viambatanisho vingine
 • udhibitisho wa taarifa zilizoingizwa

Kwa maelezo zaidi bofya hapa

 

 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 27-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page