Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba Vibali
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

KARANTINI  NA MASUALA  YA KIAFYA YA MIMEA

Kwa mujibu wa vifungu vya Sheria na Kanuni hizi, mtu haruhusiwi  kuingiza nchini mimea au bidhaa za mimea isipokuwa kwa mujibu wa masharti yanayohusu kibali cha uingizaji nchini mimea kilichoidhinishwa na kutiwa saini na mkaguzi mfawidhi;

Maombi ya kibali cha uingizaji mimea au bidhaa za mimea na vibali vyake itakuwa kwenye fomu iliyoonyeshwa katika Jedwali la Tisa na Jedwali la Kumi na yatatumwa kwa Mkaguzi Mfawidhi.

Mkaguzi Mfawidhi anaweza akaongeza kanuni na masharti mengine zaidi ya kanuni na masharti yaliyomo kwenye kibali cha uingizaji mimea nchini kadri atakavyoona inafaa: Alimuradi kuongeza  huko masharti yoyote  kwenye vibali vya uingizaji nchini, Mkaguzi Mfawidhi ataongozwa na kanuni na masharti kisheria.

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page