Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kununua Nyumba
OFISI INAYOHUSIKA
Mfuko wa Pensheni wa Jamii

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

UTARATIBU WA KUNUA NYUMBA ZA NSSF

  • Mwanachama anatakiwa kutembelea site na kuchagua nyumba
  • Kisha atachukua fomu ya maombi kutoka ofisi zetu za NSSF (kwa gharama ya Tshs 5000/-)
  • Atajaza fomu na kuirudisha ofisini
  • Atapatiwa barua ya makabidhiano
  • Atasain mkataba wa makubaliano na kulipa malipo ya awali
  • Atajaza fomu ya makabidhiano ya funguo na kukabidhiwa funguo

Kwa taarifa kamili ya Nyumba za KIJICHI bofya hapa

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 27-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page