Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kusafirisha/Kuingiza
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Taratibu za kufuata wakatiwa Kuuza/Kuingiza bidhaa ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Taratibu za kufuatwa na wafanya biashara wadogo wenye bidhaa zenye thamani isiyozidi Dora za Marekani 2000 ili kupata fursa za upendeleo katika Koko la Jumuiya ya Afrika Mashariki

  • Mfanyabiashara/Msafirishaji anatakiwa kufika kwenye kituo chochote cha forodha
  • Akiwa katika kituo cha forodha, ataomba kupatiwa cheti cha uasilia wa bidhaa kilichorahisishwa (Simplified certificate of origin)
  • Mfanyabiashara/Msafirishaji atatakiwa kujaza taarifa zinazotakiwa kwenye cha uasilia wa bidhaa kilichorahisishwa.
  • Afisa forodha atajaza maeneo yanayo muhusu na kugonga nuhuri katika cheti hicho na,
  • Mfanyabiashara/Msafirishaji ataondoka katika kituo cha forodha na cheti cha uasilia wa bidhaa kilichojazwa na kugongwa muhuri ambacho atakionyesha wakati akiingia katika Nchi anapopeleka bidhaa hiyo kuiuza.

Kwa maelezo zaidi tafadhali bofya hapa

 

 

 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page