Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Leseni
OFISI INAYOHUSIKA
Mamlaka ya Uthibiti wa Nishati na Maji

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

EWURA imepewa mamlaka ya kutoa, kuongeza muda na kubatilisha leseni ya uzalishaji umeme, usafirishaji, usambazaji  na ugavi pamoja na leseni za Wakandarasi/Wafungajinyaya wa Usakinishaji Umeme, Mitambo ya Uzalishaji Umeme wa Dharura  na Usajili wa Mitambo ya Umeme inayosamehewa  leseni. Watoa huduma kuhusiana na maeneo yaliyopewa leseni wanawasilisha maombi ya leseni EWURA wakiambatisha na hati za uthibitisho kwa ajili ya kushughulikiwa. Masharti ya maombi ya leseni, fomu za maombi na orodha ya waliopewa leseni na watoa huduma waliosamehewa  zinaweza kupatikana katika kiungo hiki: kwa Fomu ya maombi bofya hapa 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page