Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata
OFISI INAYOHUSIKA
Wizara ya Viwanda na Biashara

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

MASHARTI MUHIMU KWA MAOMBI YA LESENI KWA BIASHARA YA KUTOA MKOPO KWA KUTUMIA MTAJI BINAFSI

Maombi yote ya biashara ya kutoa mikopo kwa kutumia mtaji binafsi yanatakiwa kuambatishwa na nyaraka zifuatazo.

  1. Hati ya kuandikishwa kama Kampuni,
  2. Mkataba wa Makubaliano kati ya Wabia,
  3. Sera ya Ukopeshaji na Utaratibu wa kutoa mikopo,
  4. Hati ya mlipa kodi,
  5. Wasifu  za wenye hisa, wakurugenzi na viongozi wakuu na vyeti vyao vya elimu husika,
  6. Akaunti ya benki na taarifa za fedha za kampuni/taasisi,
  7. Hati ya kulipa Kodi kutoka TRA,
  8. Mkataba wa pango yenye mihuri ya mwanasheria na kodi ya TRA iwe imelipwa,
  9. Uthibitisho wa uraia kwa wenye hisa,
  10. Nyaraka zibanwe pamoja

Muhimu: Maombi yote yawasilishwe Wizara ya Viwanda na Biashara, sehemu ya Leseni

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 30-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page