Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba Uraia
OFISI INAYOHUSIKA
Uhamiaji

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Ubadilishaji ni kitendo cha hiari cha kukanusha uraia au utaifa wa mtu kwa mujibu wa Sharia ya Uraia wa Tanzania ya Mwaka 1995, iwapo raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano, mwenye umri kamili na uwezo wa kumpa kwa utaratibu uliyoelezwa kubatilisha uraia wake wa Jamhuri ya Muungano.Waziri anaweza kusababisha kiapo hicho kisajiliwe na baada ya usajili huo, mtu anayehusika atakoma kuwa raia Jamhuri ya Muungano.

 

Masharti:

  • Uthibitisho wa kupewa uraia kutoka nchi nyingine.
  • Kurudisha pasipoti ya Tanzania.
  • Picha tano za pasipoti za hivi karibuni.
  • Malipo ya ada ya kubatilisha uraia ya Dola za Marekani 60.

Taratibu:

  • Jaza Fomu za Maombi zilizoelezwa.
  • Wasilisha fomu kwenye ofisi ya uhamiaji, ubalozi kule unakoishi.
  • Wasilisha kwa kamishna Mkuu wa uhamiaji.
  • Maombi yatapokelewa kwa waziri ambaye atasajili.

 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page