Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kuomba Uraia
OFISI INAYOHUSIKA
Uhamiaji

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Waziri anaweza kusababisha mtoto wa raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuandikishwa kuwa raia wa Jamhuri ya Muungano baada ya maombi kufanywa kwa namna iliyoelezwa na mzazi au mlezi wa mtoto.

Masharti:

  • Uthibitisho wa uraia wa mzazi au mlezi.
  • Cheti cha kuzaliwa cha mtoto.
  • Uhalali wa uhamiaji.
  • Picha tano za uhamiaji za hivi karibuni.

Utaratibu:

  • Mzazi au mlezi anajaza fomu za maombi (Fomu B).
  • Wasilisha ofisi ya uhamiaji ya wilaya, mkoa au makao makuu.
  • Lipa ada ya uwasilishaji ya Dola za Marekani 1500 sizizorusha
  • Ofisa Uhamiaji wa wilaya au Mkoa anapeleka maombi kwa kamishna mkuu wa uhamiaji kwa mapendekezo.
  • Kamishna mkuu wa uhamiaji anapeleka maombi kwa waziri kwa uamuzi wa mwisho.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page