Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Cheti cha kuzaliwa ni kumbukumbu muhimu inayotunza kuzaliwa kwa mtoto. Kwa mujibu wa sheria, vizazi vinatakiwa kusajiliwa ndani ya kipindi cha siku 90 baada ya kuzaliwa. Masahihisho ya cheti cha kuzaliwa yatafanywa iwapo taarifa si sahihi. Iwapo taarifa imekosewa au haipo kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa kwako au mtoto wako, unaweza kuomba kubadili

Masharti

  • Wasilisha ombi la marekebisho katika ofisi uliochukua cheti cha awali au makao makuu RITA
  • Ambatisha nyaraka za udhibitisho
  • Kabidhi cheti unachotaka kusahihisha
  • Lipa ada inayotakiwa iwapo maombi yaliyopitishwa yanahitaji kiwango cha ada cha sasa cha Tsh. 6500/=

Zingatia:

  • Mabadiliko ya jina au majina ya ziada sheria inaruhusu kubadili jina kwenye rejesta ya vizazi ndani ya kipindi cha miaka miwili baada ya usajili, baada ya kipindi hicho kumalizika, mwombaji ni lazima afuate taratibu nyingine za kisheria kwa msajili wa nyaraka. (kubadili jina kwenye hati) 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page