Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Talaka (kuvunjwa kwa ndoa) na kuvunjwa kwa muungano wa ndoa, hubadilishwa kwa wajibu na majukumu ya ndoa na kuvunjwa kwa pingu za ndoa (za maisha) kati ya wenza wa ndoa. Katika hatua hii cheti cha Talaka ni karatasi halisi rasmi inayoeleza kuvunjika kwa ndoa, inahitajika kama uthibitisho wa talaka. Talaka nchini Tanzania inatawaliwa na Sheria ya Ndoa, Sura ya 29, R.E.2002.

Masharti na Taratibu za kupata cheti cha Talaka:

  • Wasilisha tamko la talaka, iwapo haki na kukata rufaa haipo tena. (iwapo ni tamko la kigeni, ni lazima kwanza igongwe mhuri tena kulingana na sheria inayohusika)
  • Wasilisha nakala ya cheti cha Talaka
  • Lipa Ada inayotakiwa (kwa sasa ada ni Tsh. 7000/=)
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page