Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Ndoa ni muungano wa kijamii au mkataba wa kisheria kati ya watu wanaojulikana kuwa wanandoa, inayoweka haki na wajibu kati ya wanandoa, wanandoa na watoto wao na wakwe na mashemeji/mawili. Katika utamaduni mbalimbali, ndoa zinakamilishwa kwa sherehe ya ndoa. Nchini Tanzania Ndoa na Talaka hutawaliwa na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, sura ya 29. R.E.2002.

Masharti:

  • Iwapo ndoa imefungwa kiraia itakuwa wajibu wa msajili wa wilaya baada ya ndoa, kuisajili

Taratibu:

  • Onyesha nakala ya cheti cha Ndoa/maelezo kuhusu ndoa (majina ya wanandoa, tarehe na mahali pa Ndoa)
  • Ingiza namba ya cheti kwenye rejesta ya Ndoa
  • Lipa ada inayohusika (kwa sasa Tsh. 7000/=)
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page