Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kubaki au kuendelea  kuishi. RITA inasajili Ndoa na Talaka, pia hutoa vyeti. Ndoa na Talaka hutawaliwa na Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, Sura ya 29, R.E.2002

Taratibu:

  • Jaza fomu zinazohusika (RGM 18, RGM 7)
  • Kiapo cha Ndoa (kinachosema kuwa ndoa ni ya kuishi na haikusajiliwa)
  • Ambatisha nakala za vyeti vya kuzaliwa watoto wa ndoa kama wapo
  • Lipa ada inayohusika (kiwango cha ada ya sasa ni Tsh. 7000/=)
Zingatia: Fomu na malipo yawasilishwe katika ofisi za RITA makao makuu au ofisi za Wilaya Tanzania Bara

 

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page