Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kupata Vyeti
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

RITA inasajili Ndoa na Talaka, pia hutoa vyeti. Ndoa na Talaka hutawaliwa na Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, Sura ya 29, R.E.2002.

Taratibu:

  • Jaza na wasilisha fomu RGM 12
  • Wasilisha nakala za vyeti vya kuzaliwa, pasipoti kama ipo
  • Ridhaa ya maandishi ya mzazi/mlezi
  • Lipa ada inayohusika ( kiwango cha sasa cha ada Tsh.33000/=)
  • Fomu ni lazima iombwe na mwombaji

Zingatia:

Iwapo mwombaji ni mkazi wa nchi ya nje , maombi ni lazima yapitie ubalozi wa Tanzania, au ubalozi mdogo


          

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 19-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page