Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Habari
Tarehe Muhtasari

2017-07-15
Soma zaidi »

2017-05-05

Utaratibu mpya wa uwasilishaji wa michango na malipo mengineyo kwa waajiri na wanachama wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)


Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umefanya maboresho ya uimarishaji wa mfumo wa uwasilishaji wa michango na malipo ya huduma nyinginezo kutoka kwa waajiri na wanachama wake kupitia benki.


Kutokana na maboresho hayo, kuanzia tarehe 1 Juni 2017, mwajiri au mwanachama anatakiwa kuwa na namba rejea ya malipo (payment reference number) kila anapowasilisha michango au kufanya malipo kupitia tawi lolote la benki ya NMB.


Ili kupata namba rejea ya malipo, waajiri na wanachama wanatakiwa kutekeleza utaratibu ufuatao:  • Mwajiri anatakiwa kutumia mfumo wa mtandao unaopatikana kupitia anuani https://verification.nhif.or.tz/serviceportal na kufuata maelekezo hatua kwa hatua. Maelekezo kamili ya namna ya kutumia mfumo huo yanaweza kupakuliwa kwa kubonyeza eneo lililoandikwa “Download”;

  • Pamoja na mfumo huo, mwanachama anawe
Soma zaidi »

2017-05-03

Bei Kikomo za Mafuta Aina ya Petroli Kuanzia Jumatano Tarehe 3, Mei 2017

Soma zaidi »

2017-05-02

Orodha ya Watumishi wa Umma wenye Vyeti vya Kughushi-Halmashauri

Soma zaidi »

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page